Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.
Utakufa kwa roho yako mbaya Dr.Bashiru anashida gani mtu anakula mafao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yeah ndio alikuwa ana dictate wafanye interim commitee yeye ndio awe rais wa mpito hadi uchaguzi baada mwaka 1....njaa mbaya sana heti afunge domo akija kuropoka watamchafua hatarudia tena....yule ndio alimpangia SSH aende Tanga ili akijua mwendazake ameshatangulia ilawa siri na wakachota pesa za matibabu kujifanya bado mzima......ipo siku tutajua yote na umma utaelewa mabaya yote aliofanya mxalendo huyooo hahahhah
Unaongea as if ww ndo Samia..acheni ujuaji wabongo hausaidii
 
Anaona aibu na anajuta kukubali uteuzi wa kuwa katibu mkuu wa CCM na hatimaye kuwa katibu mkuu kiongozi aliyehudumu kwa mwezi mmoja na siku kadhaa kwa aibu anayojisikia naamini anatamani hata dunia mwisho wake ufike haraka.
Wamwangalie sana huko aliko anaweza kujinyonga
 
Dr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.

Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.

Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!

Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Ole wake amtumainiye mwanadamu
 
Back
Top Bottom