Wale watu wawili walijisahau mapema sana!! Waliwadharau maccm wa zamani wakaleta wapya kwa manunuzi, waliwatukana waliokuwa viongozi ccm wakidhani kuwa wao ndio wenyewe, walifurahia wapinzani wakisambaratishwa, Slowslow alitamka kuwa “CCM mpya wanatembea na V8 hata wale walio kwenye mitaa! Unachezea ccm”
Leo yuko wapi slowslow aliyekuwa akizunguka mikoa akinunua wapinzani kwa mtutu wa bunduki
Bashiru alisema watatumia dola kushinda na kweli walitumia dola kushinda mpaka kupitiliza, ikalwta aibu mpaka ikabodi kununua tena Covid 19 kutoka Chadema, maadui wakuu wa ccm!!
Lakini wao walidhani wangebakia juu kumbe hawakufaidi!
Bashiru na Slowslow
Sabaya na makonda
Ndugai na ..,,,,,,
Wataje wengine wengi wanaostahili malipo hapa hapa duniani