Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Maana ya Mstaafu imepoteza MaanaWakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya Mstaafu imepoteza MaanaWakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aliowanunua ndo mabosi wake, na yule wa karatu alimkula akamuhonga 70m Sasa hawezi kumkula tena
Yaani we acha tu. Mtumwa ageuka kuwa bossAliowanunua ndo mabosi wake, na yule wa karatu alimkula akamuhonga 70m Sasa hawezi kumkula tena
Atatumia dola kubakia na ubunge?Anaandaa ilani ya 2025
Atanadi kwa kusema aliumizwa sana.
Atatuambia na ripoti ya uhakiki wa Mali za wananchi
Alidumu muda gani kwenye ukatibu Mkuu kiongoziDr. Bashiru bado moyo wake unaumia kufuatia kifo cha godfather wake.
Kumbuka Dr. huyu alikuwa analindwa kwa cheo chake cha ukatibu mkuu kiongozi.
Alikuwa na sauti pamoja na maandishi yenye maamuzi. Lkn sasa Dr.Bashiru anatemewa mbovu na Silinde. What a humiliation to him!
Ndiyo maana moyo wake unabubujika hasira na huzuni.
Nobody expected Magufuli to die within a short span of daysHaamini hataamini kamwe....Jiwe alimpa kibri cha binadamu akamsahau hata Mola wake.....acha avune alichopanda....mpuuzi mkubwa
Kamugumya maana yake Ni kwa Kihaya...Yule sidhani kama atakuja kurudi katika hali yake ya kawaida. Mtu aliyefikia hatua ya kutishia kumfukuza kazi Waziri na Msajili wa vyama akiwa KM wa chama na kupanda hadi kuwa KMK leo kujikuta yuko bungeni bila jimbo anapitia sonona iliyoenda shule.
Sidhani, Samia asingelimfanyia haya Mbowe! Sema kimetuonyesha .....sijui nisemeje/niliwekejeIla kifo Cha Magufuli kimetufunza mengi
Hivi mithali Ni Nini?Kitabu cha Mithali ni kitabu cha Mwili zaidi.
Yes, Bashiru na Polepole walishaanza kuwa na mawazo kuwa Jiwe might choose one of them as a candidate for the next presidency, though one can not say for certainity if Magufuli would have relinquished power after his constitutional presidency terms endYaani bado ana wenge la kutoamini....alishaona yeye next President akawa hamtaki SSH wasigine Katiba qibu sana uchu wa madaraka wanajifanya wazalendo mavi hao kidogo tu true color ikaonekana
Hakustaafu, alitenguliwa naona unampaka rangi apendeze.Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Curved space...trampolineSiku zinakimbia sana,unaweza kifikiri kuna mtu anazivuta.
Walitesa watu, walikuwa makatili wa roho za watuKwanini Bashiru haeshimiki kama Kinana na Makamba
Anabatizwa na maji ya moto!Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.