TheCombination
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 370
- 729
Kwan bungen ha attend au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aiseeWalizama kwenye akili za marehemu na kusahau kuwa ni washauri pia ambapo kazi ya ushauri hawakuitekeleza na kuwa wapiga ngoma na vigelehele kufwatisha nyimbo za Pombe John .
Kuna ujumbe mkubwa sana hapo wa kujifunza.
Mfano Makonda, Bashiru, Polepole, Mnauye, Musiba, Ally Happy, Gambo, Ndugai nk nkMithali 30:
21 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia,
22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula;
23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.
KabisaKiongozi mzuri ni yule anayekataa na kuyapinga maovu hata kwa gharama ya kutoa uhai wake.
Dr. Bashiru kabla ya kupewa madaraka ndani ya chama na serikali alikuwa mpigania haki na mpigania katiba mpya.
Lkn baada ya kupewa madaraka akaungana na watesi kuhubiri uzuri wa katiba aliyokuwa akiipogia kelele .
Ama kweli Africa is a dark continent for dark people with dark brain.
Kutoka katibu mkuu wa ccm, katibu mkuu kiongozi mpakacmbunge wa viti maalumUbunge bila jimbo
Chedema ilishajengwa Mpaka kimekuwa chama kikuu pinzaniHivi siredi kama hii inasaidia nini katika kuijenga chadema? Sijui kabisa kama porojo za kimbea kama hii zina manufaa yoyote kwa chama chenu. Labda .....!
Fanya ubaya wowote ule usiwe sehemu ya kumwaga damu, ukishiriki hilo wewe na kizazi chako mmeishaKwanini Bashiru haeshimiki kama Kinana na Makamba
Na wewe mbona haufanyi kazi kwa kureaply kwenye bandiko lake.au hauna familia wewe na unaoshi kwa shemeji yako?Halafu ukishajua alipo?!
Fanya kazi zako wewe shida zimekuzunguka bado unazungumzia viongozi waliofanya yao kwa muda waliojaliwa kuwa madarakani…
we unadhan yuko wapWakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Yeye ni mbunge wa kuteuliwa... hana jukwaa la kusemea. Mahali pekee anapoweza kusikika ni bungeni, hana jimbo la uchaguzi, na ndani ya Chama hana nafasi ya uongoziWakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Unachomshangaa ni kipi!! power inatafutwaYeah ndio alikuwa ana dictate wafanye interim commitee yeye ndio awe rais wa mpito hadi uchaguzi baada mwaka 1....njaa mbaya sana heti afunge domo akija kuropoka watamchafua hatarudia tena....yule ndio alimpangia SSH aende Tanga ili akijua mwendazake ameshatangulia ilawa siri na wakachota pesa za matibabu kujifanya bado mzima......ipo siku tutajua yote na umma utaelewa mabaya yote aliofanya mxalendo huyooo hahahhah
Anauwezo wa kutosha kabisa kununua V8. Bado anamshahara wa katibu mkuu kiongozi kwani hakufukuzwa kazi ya utumishi wa umma. iyo ni hasara kwa taifa kwani watu wawili wako kwa pay rollNjoo ubungo msewe unamwona na ka vits chake kile .
Kutoka v8 hadi vits akili lazma ipuyange kidogo
mtoto wa kike unamuulizia mwanaume!!!! unataka nini? kama unamtaka sema upewe namba, akakushughulikie baraaabara. Na ukikamatwa na mkewe usirudi hapa kutulilia.Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.
Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Kama vyama vya upinzani vinatumiwa na maadui wa nchi ku-sabotage attempts za kuwaletea wananchi maendeleo,upo uhalali wa kuvidhibiti.Kwa mfano,upo ushahidi usio shaka kwamba CDM inatumiwa na CIA kuifanya Tanzania iwe ungovernable.Katika hali hiyo upo uhalali wa kutumia kila mbinu kuidhibiti CDM.Uliwahipo lini kumsikia gadaffi kama ukiwa madarakani lazima utumie vyombo vya dolla ili kuuwa wapinzani chama tawala kizidi kukaa madarakani