Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Yuko wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru Ally?

Walizama kwenye akili za marehemu na kusahau kuwa ni washauri pia ambapo kazi ya ushauri hawakuitekeleza na kuwa wapiga ngoma na vigelehele kufwatisha nyimbo za Pombe John .


Kuna ujumbe mkubwa sana hapo wa kujifunza.
Kabisa aisee
 
Wamekuwa wajane kama musiba na bashite.
Bashiru alijiaminisha akitoka sponsa 2040 anachukua yeye akitoka yeye anachukua bashite.Ndumba mbaya sana ukupa matumaini feki mganga ni mfanyabiashara atakacho ni pesa yako tu.
Daaaaa
 
Mithali 30:

21 Kwa ajili ya mambo matatu nchi hutetemeka, Naam, kwa ajili ya manne haiwezi kuvumilia,

22 Mtumwa apatapo kuwa mfalme; Mpumbavu ashibapo chakula;

23 Mwanamke mwenye kuchukiza aolewapo; Na mjakazi aliye mrithi wa bibi yake.
Mfano Makonda, Bashiru, Polepole, Mnauye, Musiba, Ally Happy, Gambo, Ndugai nk nk
 
Kiongozi mzuri ni yule anayekataa na kuyapinga maovu hata kwa gharama ya kutoa uhai wake.

Dr. Bashiru kabla ya kupewa madaraka ndani ya chama na serikali alikuwa mpigania haki na mpigania katiba mpya.

Lkn baada ya kupewa madaraka akaungana na watesi kuhubiri uzuri wa katiba aliyokuwa akiipogia kelele .

Ama kweli Africa is a dark continent for dark people with dark brain.
Kabisa
 
Hivi siredi kama hii inasaidia nini katika kuijenga chadema? Sijui kabisa kama porojo za kimbea kama hii zina manufaa yoyote kwa chama chenu. Labda .....!
Tusipoijenga Chadema si ndo furaha ya CCM
 
Halafu ukishajua alipo?!

Fanya kazi zako wewe shida zimekuzunguka bado unazungumzia viongozi waliofanya yao kwa muda waliojaliwa kuwa madarakani…
Na wewe mbona haufanyi kazi kwa kureaply kwenye bandiko lake.au hauna familia wewe na unaoshi kwa shemeji yako?
 
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.

Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
Yeye ni mbunge wa kuteuliwa... hana jukwaa la kusemea. Mahali pekee anapoweza kusikika ni bungeni, hana jimbo la uchaguzi, na ndani ya Chama hana nafasi ya uongozi
 
Yeah ndio alikuwa ana dictate wafanye interim commitee yeye ndio awe rais wa mpito hadi uchaguzi baada mwaka 1....njaa mbaya sana heti afunge domo akija kuropoka watamchafua hatarudia tena....yule ndio alimpangia SSH aende Tanga ili akijua mwendazake ameshatangulia ilawa siri na wakachota pesa za matibabu kujifanya bado mzima......ipo siku tutajua yote na umma utaelewa mabaya yote aliofanya mxalendo huyooo hahahhah
Unachomshangaa ni kipi!! power inatafutwa
unamshangaa mwanaume mwenzio kutafuta power!!??
 
Njoo ubungo msewe unamwona na ka vits chake kile .
Kutoka v8 hadi vits akili lazma ipuyange kidogo
Anauwezo wa kutosha kabisa kununua V8. Bado anamshahara wa katibu mkuu kiongozi kwani hakufukuzwa kazi ya utumishi wa umma. iyo ni hasara kwa taifa kwani watu wawili wako kwa pay roll
 
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana.

Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
mtoto wa kike unamuulizia mwanaume!!!! unataka nini? kama unamtaka sema upewe namba, akakushughulikie baraaabara. Na ukikamatwa na mkewe usirudi hapa kutulilia.
 
Uliwahipo lini kumsikia gadaffi kama ukiwa madarakani lazima utumie vyombo vya dolla ili kuuwa wapinzani chama tawala kizidi kukaa madarakani
Kama vyama vya upinzani vinatumiwa na maadui wa nchi ku-sabotage attempts za kuwaletea wananchi maendeleo,upo uhalali wa kuvidhibiti.Kwa mfano,upo ushahidi usio shaka kwamba CDM inatumiwa na CIA kuifanya Tanzania iwe ungovernable.Katika hali hiyo upo uhalali wa kutumia kila mbinu kuidhibiti CDM.
 
Back
Top Bottom