Yuko wapi Kibakuli mdogo wake Nyama yao

Habarini Wadau,

Leo katika moja ya igizo la hapa nchini nimefanikiwa kumwona Nyamayao, msanii mahiri aliyeanza uigizaji akiwa binti mdogo kabisa ila kwasasa amekuwa mwanamke hasaa.

Baada ya kumwona nikamkumbuka dogo mmoja alikuwa akiigiza naye aliitwa Kibakuli. Mara nyingi waliigiza kama watoto wa Mhogo mchungu na igizo lilirushwa na ITV.

Huyu dogo kapotelea wapi? Bado anaigiza?
 
Siku hizi anajiita King Kiba au Mr Kipusa .

Au mzee wa yoooooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naskia alifariki. Si ndo yule kibonge flan hivi cheupe aliigiza kwenye igizo la Fukuto ITV mamake bi mwenda walikuwa wanaigiza kama watoto wa wachawi.
 
Naskia alifariki. Si ndo yule kibonge flan hivi cheupe aliigiza kwenye igizo la Fukuto ITV mamake bi mwenda walikuwa wanaigiza kama watoto wa wachawi.
Sio huyo mkuu.

Yule aliyekuwa na red eyes alishadanja ila Kibakuli ni mwingine mkuu
 
Huyu hapa japo hii sio picha ya hivi karibuni, alipungua ule unene baada ya kuwa mtu mzima. Atakuwa anapiga mishe nyingine apart from kuigiza ila kiukweli alikuwa na kipaji. Ila kipindi kile walikuwa hawapati hela kabisa japo walikuwa wanafanya juhudi kubwa, anyway tutaendelea kuwakumbuka
 
Kweli mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…