Chini ya uangalizi maalumAssad anasifiwa kwa kuwa shujaa, mimi najiuliza siku ile pale Magogoni alipatwa na nini alipokataa Mbele ya Jiwe kuwa zile 1.5 trillion shillings kwenye report yake kama CAG hazikupotea kama wengi walivyokuwa wanaeneza?
Umesahau wamakonde. Hawa hawabebeki hata uwatie chumvi.Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Chini ya uangalizi maalum
Covid 19 IPO na itaendelea kuwepo sana tu, kwa sababu tumejiaminisha kwamba huu ugonjwa haupo,, tunapingana na Sayansi kwa imani za kishirikina, poleni wazee na wagonjwa kama sisi, TUJITAHIDI KUCHUKUA TAHADHARI,, OMICRON YUPO NJIANI, MUNGU ATUNUSURU, AMEENCovid 19 bado inamtesa sana, tuvae barakoa jamani
Watu wengi nchi hii ni opportunists tuu, wenye uchungu na nchi ni wachache sana tena sana, take my word !!Je kuwa chini ya uangalizi maalum ni justification ya kuacha kile unachokiamini? Principled people [ and not opportunists] always stand by what they believe in irrespective of the prevailing circumstances!!
Khaaaah, Mkaraaa!Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Si huyo hapo.Kwa kutoonekana kwake watanzania tulitakiwa tupate taarifa kwakeli. Awe anaumwa au yuko.kwenye shughuli nyingine. Leo tulitakiwa tupate taarifa kamili
View attachment 2035451
Masaa kumi na mbili yaliyopita alikua anachapa kazi na nimeongea nae kwa simu sio muda mrefu yuko salama salmin mimi ni raia mwenye akili
BushmamySi huyo hapo.View attachment 2038640
Yan mara kibao, wiki huwa haiishagi mitusi mingi tatizoGenta kala nyundo [emoji23][emoji23]
I think mods wamuache tu kasha shindikanaYan mara kibao, wiki huwa haiishagi mitusi mingi tatizo
Bila shaka we utakua mjinga kweli! Unawezaje kutofautishaje Wazanaki na Waha Kihistoria!!?Hivi nyie Washamba Waha Watani zangu si mpo wengi tu hapa JamiiForums? Hebu niambieni upesi Mzanaki Mimi aliko Ndugu yenu Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango tafadhali.
Kuna Shehena ( Consignment ) moja ya Corona ( UVIKO-19 ) nataka kuipeleka Mkoani Kwenu Kigoma na nataka Yeye ndiyo akaipokee kwani imetengenezwa 'Kienyeji' kutoka kwa 'Mashujaa' wa Tanzania Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )
Nimekupata vyema tu mkuu,,,Nyonzo bin mvule angalia I'd ya mleta uzi utaona imeandikwa neno ban, hapo ndo inakuwa hivyo