Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Chini ya uangalizi maalumAssad anasifiwa kwa kuwa shujaa, mimi najiuliza siku ile pale Magogoni alipatwa na nini alipokataa Mbele ya Jiwe kuwa zile 1.5 trillion shillings kwenye report yake kama CAG hazikupotea kama wengi walivyokuwa wanaeneza?