Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Assad anasifiwa kwa kuwa shujaa, mimi najiuliza siku ile pale Magogoni alipatwa na nini alipokataa Mbele ya Jiwe kuwa zile 1.5 trillion shillings kwenye report yake kama CAG hazikupotea kama wengi walivyokuwa wanaeneza?
Chini ya uangalizi maalum
 
Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Umesahau wamakonde. Hawa hawabebeki hata uwatie chumvi.
Kuna jamaa yangu alikua na NGO ya kuboresha makazi huko Mtwara. Basi jamaa alinunua mashine ya tofari interlocking akawapelekea. Basi wakawa wanaitumia kufyatua tofari za udongo na kujengea nyumba zao wenyewe. Kuna siku bolt moja ilichomoka baada ya nut kuchomoka hivyo mashine ikawa haifanyi kazi. Badala wanunue bolt. Walimtafuta jamaa kwa udi na uvumba Hadi wakampata kwenye simu. Wakamwambie njoo utengeneze mashine yako imeharibika.
The guy was just flabbergasted.
 
Chini ya uangalizi maalum

Je kuwa chini ya uangalizi maalum ni justification ya kuacha kile unachokiamini? Principled people [ and not opportunists] always stand by what they believe in irrespective of the prevailing circumstances!!
 
mzee aangalie Sana,kumbuka alikuwa kwenye list ,na Bibi kiukweli uwepo wa jamaa ,unampa stress ,akikumbuka kale ka muda kazr ka wajumbe
 
Covid 19 bado inamtesa sana, tuvae barakoa jamani
Covid 19 IPO na itaendelea kuwepo sana tu, kwa sababu tumejiaminisha kwamba huu ugonjwa haupo,, tunapingana na Sayansi kwa imani za kishirikina, poleni wazee na wagonjwa kama sisi, TUJITAHIDI KUCHUKUA TAHADHARI,, OMICRON YUPO NJIANI, MUNGU ATUNUSURU, AMEEN
 
Kwa kutoonekana kwake watanzania tulitakiwa tupate taarifa kwakeli. Awe anaumwa au yuko.kwenye shughuli nyingine. Leo tulitakiwa tupate taarifa kamili
 
Je kuwa chini ya uangalizi maalum ni justification ya kuacha kile unachokiamini? Principled people [ and not opportunists] always stand by what they believe in irrespective of the prevailing circumstances!!
Watu wengi nchi hii ni opportunists tuu, wenye uchungu na nchi ni wachache sana tena sana, take my word !!
 
Kwa kutoonekana kwake watanzania tulitakiwa tupate taarifa kwakeli. Awe anaumwa au yuko.kwenye shughuli nyingine. Leo tulitakiwa tupate taarifa kamili
Si huyo hapo.
JamiiForums-1575204185.jpg
 
Nafasi ya Vice President huwa haina mambo mengi.

Screenshot 2021-12-09 at 11-11-32 DR PHILIP ISDOR MPANGO on Twitter.png
 
Hivi nyie Washamba Waha Watani zangu si mpo wengi tu hapa JamiiForums? Hebu niambieni upesi Mzanaki Mimi aliko Ndugu yenu Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango tafadhali.

Kuna Shehena ( Consignment ) moja ya Corona ( UVIKO-19 ) nataka kuipeleka Mkoani Kwenu Kigoma na nataka Yeye ndiyo akaipokee kwani imetengenezwa 'Kienyeji' kutoka kwa 'Mashujaa' wa Tanzania Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma )
Bila shaka we utakua mjinga kweli! Unawezaje kutofautishaje Wazanaki na Waha Kihistoria!!?
Wote hao asili yao ni Rwanda na Burundi.

Au historia ya Wazanaki huijui. Hujui tu neno "Wazanaki" ni neno la Kirundi likimaanisha "umekuja na nini". Warundi walikuwa wakihamia Tz wanaulizana kwamba wamekuja na vitu gani kutoka nyumban Burundi kama vile ugali wa Rowe yaani "Ubhulombe"

Hahahaaaa 😁😁😁 eti Mzanaki, mzanakiiiiiiiiii! Mzanaki gani! Wahuni nyie wa enzi za Michombero!
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom