Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakumbuka enzi Bilal akiwa makamu alikuwa bingwa wa uzinduzi wa majengo na semina. Nakumbuka aliwahi kuzindua lift kwenye jengo moja Mbeya kule...

Nadhani vidole vyake viliota sugu ya mikasi...
 
Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! [emoji23][emoji23]
Nafikiri haya mambo ya 'uzinduzi' ni ceremonial mbona hapati mgao. Hata mimi nilikuwa nashangaa yupo wapi au hajarudi kutoka safarini ?
 
Wewe ulitaka umuone sokoni kariakoo akinunua nyanya na vitunguu swaumu?
 
Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Hujui kuwa kuna mlipuko wa 4?
 
Naona umeungana na wapinzani sasa.
 
Nimemsikia anawatuma wahitimu wa chuo kwenye mahafali fulani wakateseke!
 
Kama kumuulizia Mtu ( tena Kiongozi wangu Makamu wa Rais ) ni Upumbavu ( Foolishness ) basi sawa ila kwakuwa Wewe ni Mwerevu ( Einstein ) nitashukuru ukiniambia tu alipo Mtani wangu wa Kiha Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango.
Hivi kulingana na katiba ya 77 ni nani mwenye haki ya kumpokeza kijiti kama ikitokea anajiuzuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…