GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Sijui nilikuwa ninaota tu au ni Kweli pia!!Mungu aepushie mbali kikombe hiki. Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nilikuwa ninaota tu au ni Kweli pia!!Mungu aepushie mbali kikombe hiki. Amina
Nakumbuka enzi Bilal akiwa makamu alikuwa bingwa wa uzinduzi wa majengo na semina. Nakumbuka aliwahi kuzindua lift kwenye jengo moja Mbeya kule...Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! 😂😂
Saa au Hirizi? Wewe ni Mgeni na Waha?Mheshimiwa ile saa unayovaaga kubwa kubwa hivi huwa ni kali sana.
Angemuua mzee wa watu kwenye korido za hospitali. Ila Mungu yu mwema, mama akamlipizia law kumgawia umakamu ili afute machungu...Jiwe bhana..
Nafikiri haya mambo ya 'uzinduzi' ni ceremonial mbona hapati mgao. Hata mimi nilikuwa nashangaa yupo wapi au hajarudi kutoka safarini ?Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! [emoji23][emoji23]
That was totally BS.Angemuua mzee wa watu kwenye korido za hospitali. Ila Mungu yu mwema, mama akamlipizia law kumgawia umakamu ili afute machungu...
Jiwe alikuwa katili sana...That was totally BS.
Hukuwa hata amerecover,nguvu hana,anakooa lakini wenyewe wakapeleka makamera Benjamin Mkapa Hospital.
Hawakumfanyia fair kabisa.
Wewe ulitaka umuone sokoni kariakoo akinunua nyanya na vitunguu swaumu?Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
PumbafNipo mkuu napiga kazi kimya kimya.
Kazi iendelee [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo maneno tuliambiwa sana mwezi machiJana alikua ana zindua kongamano la usawa wa kijinsia kupitia zoom
Hujui kuwa kuna mlipuko wa 4?Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Naona umeungana na wapinzani sasa.Kama Mtani wangu Muha yuko basi ni Faraja kubwa sana Kwangu Mkuu. Tafadhali Mkuu kama una Picha zake zozote labda za katika hilo Kongamano la Zoom la Jana hebu niwekee hapa ili nimuone tu na niridhike kwani nilishaanza Kuogopa na Kuikumbuka Hospitali moja hivi Makumbusho Dar es Salaam.
Hivi huwa inamrudia mtu mara mbili?Anaumwa Corona
Kama jiwe liliumwa itakuwa umwa waachu?Acha Bange / Bangi Wewe Watani zangu Waha huwa hawaugui hovyo hovyo.
Rwanda au Burundi?Ukome na ulegee [emoji1787][emoji1787],----Kigoma ni nchi wala sio mkoa.
Nimemsikia anawatuma wahitimu wa chuo kwenye mahafali fulani wakateseke!Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
😁😁😁😁😁Nakumbuka mwendazake alimtoa hospitalini ili aongee kuthibitisha yuko salama. Mzee alikohoa mpaka akatia huruma...
Hivi kulingana na katiba ya 77 ni nani mwenye haki ya kumpokeza kijiti kama ikitokea anajiuzuru?Kama kumuulizia Mtu ( tena Kiongozi wangu Makamu wa Rais ) ni Upumbavu ( Foolishness ) basi sawa ila kwakuwa Wewe ni Mwerevu ( Einstein ) nitashukuru ukiniambia tu alipo Mtani wangu wa Kiha Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango.