Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! 😂😂
Nakumbuka enzi Bilal akiwa makamu alikuwa bingwa wa uzinduzi wa majengo na semina. Nakumbuka aliwahi kuzindua lift kwenye jengo moja Mbeya kule...

Nadhani vidole vyake viliota sugu ya mikasi...
 
Mkuu wangu kumbuka kwamba Makamu wa rais ni ceremonial zaidi kuliko utendaji.
Btw, mimi siyo Makamu wa rais Dr Mpango. Nilikuwa nafurahisha genge tu! [emoji23][emoji23]
Nafikiri haya mambo ya 'uzinduzi' ni ceremonial mbona hapati mgao. Hata mimi nilikuwa nashangaa yupo wapi au hajarudi kutoka safarini ?
 
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.

au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.

Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Wewe ulitaka umuone sokoni kariakoo akinunua nyanya na vitunguu swaumu?
 
Sawa tangia uende Ziara yako kule Singapore Watanzania hatujapata Taarifa yoyote ile ya Urejeo wako nchini halafu Siku hizi wanaosikika mno ni #1 na #3 tu na Wewe #2 ni kama umeshafunikwa na upo upo tu?
Hujui kuwa kuna mlipuko wa 4?
 
Kama Mtani wangu Muha yuko basi ni Faraja kubwa sana Kwangu Mkuu. Tafadhali Mkuu kama una Picha zake zozote labda za katika hilo Kongamano la Zoom la Jana hebu niwekee hapa ili nimuone tu na niridhike kwani nilishaanza Kuogopa na Kuikumbuka Hospitali moja hivi Makumbusho Dar es Salaam.
Naona umeungana na wapinzani sasa.
 
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa ( Alhamisi ) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.

au kama yupo ( tunae hapa JamiiForums ) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.

Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Nimemsikia anawatuma wahitimu wa chuo kwenye mahafali fulani wakateseke!
 
Kama kumuulizia Mtu ( tena Kiongozi wangu Makamu wa Rais ) ni Upumbavu ( Foolishness ) basi sawa ila kwakuwa Wewe ni Mwerevu ( Einstein ) nitashukuru ukiniambia tu alipo Mtani wangu wa Kiha Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango.
Hivi kulingana na katiba ya 77 ni nani mwenye haki ya kumpokeza kijiti kama ikitokea anajiuzuru?
 
Back
Top Bottom