Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

....nimemmisi.... ondoa neno hili, halitumiki kwa wanaume watupu au jinsi moja labda tu vinginevyo.
 
Washamba wapo Chato ww na kubwa lao limelala yoo
 
Kwani zito Anasemaje?
 
Kwa mujibu wa nafasi yake ataonekana active pale ambapo anatakiwa kufanya kazi aliyopangiwa na Raisi au kumwakilisha Mh Raisi. Mambo ya Muungano na Mazingira anaye waziri ndani ya Ofisi yake, kwa hiyo yeye yupo tu mpaka pale atakapopangiwa shughuli na Raisi
 
Hili swali lako lipo ki mipango wewe jamàa akili zako unazijuaga mwenyewe tu nahisi kuna kitu
 
Yupo ana mafaili mengi sana anayafanyia
 
Alikuwepo juzi wakati wa uapisho wa balozi mpya wa Brazil.
 
Mkuu nchi ngumu.. sana hii ndg yangu kiufupi Vp, haitendei haki cgeo chake .,
Ila siku za mwanzo alikuja na moto sana.
Kuna namna wameshamfanyia fitna zakutosha....
 
Ukome na ulegee [emoji1787][emoji1787],----Kigoma ni nchi wala sio mkoa.

Wala usichukie kuambiwa mshamba na mtani wako, huyo watani zake ni waha, wanyiramba, wahaya, warangi, n.k amekuwahi tu ndio utamaduni hata angepita akakuta mnasafirisha maiti kwenda kuzika angekataa msiendelee akazua jambo kua alikua anamdai marehemu hivo lazima alipwe na mngempa pesa, na mkiwa msibani ninyi mnalia yeye anacheka wala haumfanyi kitu ndio utani mkuu au umekua juzi juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…