GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Mkuu na Mtani wangu nimecheka sana tu kwani umenipiga 'Dongo' la maana. Napenda mno Utani na Kuwatania Watani zangu wakubwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Warangi, Wanyamwezi na Wakara.Mtani akitaniwa je naye asijibu utani??---- wewe huoni hicho kicheko katika majibu yangu??!!, hicho ni kicheko cha utani tu isitoshe lini Kigoma ilikuwa ni nchi??!, hayo yote ni mambo ya utani tu,🤣🤣.
Wewe ndiye uliyezaliwa juzijuzi usiyejua jinsi utani unavyokolezwa.
Huyo Gentamycine ni Mzanaki na ndio maana ni mshamba kama Baba wa taifa alivyokuwa.🤣🤣🤣
Haya bhana Mtani umeshinda tu Wewe.