Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Mkuu na Mtani wangu nimecheka sana tu kwani umenipiga 'Dongo' la maana. Napenda mno Utani na Kuwatania Watani zangu wakubwa Wahaya, Waha, Wanyiramba, Wanyaturu, Warangi, Wanyamwezi na Wakara.

Haya bhana Mtani umeshinda tu Wewe.
 
Wapelekee kwenu (wenye magovi)mhamasishane kutahiri.
 
Huyu Mzee kiukweli toka atoke kuumwa Covid hajakaa sawa...kitalaam alipaswa kupumzika..Afya yake toka ameumwa ile Covid sijaona kama inafanana na alivyokuwa...
Covid 19 ikiingia mpaka kwenye mapafu ujue hapo imeshaweka madhara mwili mzima, Organs nyingi zinakuwa zimeathiriwa, Tuchukue tahadhari Covid ni ugonjwa hatari, kwa baadhi ya watu, na huwezi kujua hao baadhi ya watu itakuwa ni akina nani !!
 
Huyu Mzee kiukweli toka atoke kuumwa Covid hajakaa sawa...kitalaam alipaswa kupumzika..Afya yake toka ameumwa ile Covid sijaona kama inafanana na alivyokuwa...
Wanasema Covid 19 ikikushambulia mpaka kufikia hatua ya kupata tatizo la upumuaji, huwa imefanya damage kubwa kwenye organs mbalimbali mwilini.

Hata kama ukiwa umepona, ile damage iliyotokea, huchukua muda kupona kwa 100%,
 
Umeanza chokochoko!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yupo anapiga kazi,yule ni makamu wa Rais huwezi kutana naye magomeni au kariakoo kirahisi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Ndugu Itovanilo ,wewe mbona umeandika kama "muongo wa taifa" ambaye pia ni mmiliki wa timu ya mpira wa miguu huko "kuthini"!!??
 
Wewe 'Raia' hujuhi kitu, subiri taarifa uone meza zinavyopinduliwa.

kutoka kwa VP si lazima 'Kifo'
what if akasema ame resign??

viongozi wanapitia wakati mgumu sana, raia hawajuhi tu.
kuna kulogana na kufitiana.
Watu huwa wanaambiwa, "achana na huo mpango au upatwe na ajali wewe na familia yako?".
 
Yupo anapiga kazi,yule ni makamu wa Rais huwezi kutana naye magomeni au kariakoo kirahisi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Wasaidiane wote kazi isije ikatokea ghafla nae aanze visingizio vya awamu zilizopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…