Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Kama kumuulizia Mtu (tena Kiongozi wangu Makamu wa Rais) ni Upumbavu (Foolishness) basi sawa ila kwakuwa Wewe ni Mwerevu (Einstein) nitashukuru ukiniambia tu alipo Mtani wangu wa Kiha Makamu wa Rais Dk. Philip Isidori Mpango.
Baba yako unajua alipo?mtafute baba yako kwanza achana na baba wa watu wengine!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Basi subiri hiyo Alhamisi utamwona
 
Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Wakara mtuache. Mimi ni Mkara lakini nimewahi kuwa mkurugenzi wa UNGO pale Moro, nimewahi kuwa CR wa wanafunzi wa agribusiness pale SUA, vilevile nimewahi kwenda Ethiopia kikazi mara mbili mfululizo. Sasa ushamba wa wakara unatoka wapi? Acha dharau .
 
Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Unawezaje kuwaita wanyamwezi washamba, wakati hadi wamarekani weusi wanaitwa 'wanyamwezi', au mtu akiwa ametoka mbele anaitwa "mnyamwezi", au mtu yoyote mjanja anajiita "mnyamwezi". Sasa kuna mtu mjanja atajihusisha na ushamba?
 
Yule mgonjwa kaulizake haziendanagi na yeye...mama uliniachia nchi nilikua naogopa......Jaman wasomi wa bongo kizungumkuti
 
Huwezi jua kale kadudu ka 19 si wamesema kamerudi kwa staili mpya? Unaweza kukuta kameshatenda miujiza...

Hakana utani na vigogo kale kadudu
Ukiumwa na nyoka hata ujani utaukimbia
 
Gentamycine unaonekana unakubali mno kazi ya Netanyahu ndio maana umeweka kwenye avatar! Ni vizuri, wewe akili kubwa, na yeye ni akili kubwa.[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Nakumbuka enzi Bilal akiwa makamu alikuwa bingwa wa uzinduzi wa majengo na semina. Nakumbuka aliwahi kuzindua lift kwenye jengo moja Mbeya kule...

Nadhani vidole vyake viliota sugu ya mikasi...
Mkuu nimecheka sana....alizindua lift?
 
Makamu wa rais ni ceremonial figure mkuu....sio mtendaji....kuwepo kwake au kutokuwepo kwake hakuathiri kitu chochote
Ceremonial figure aah 😳!!.

Awepo asiwepo haiathiri kitu 😳!!.

Naona kuna watu ni sawa na wale mnapigia kelele eti watu wameiba pesa za umma, wakati katiba yenu inaruhusu wizi from high profile people.

Yaani badala ya kupambana kuondoa hicho cheo kuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali za umma, wewe unasema hakuathili huku anaendelea kuishi kwa nguvu ya watanzania mmh🙁!.
 
.
 
Nakumbuka mwendazake alimtoa hospitalini ili aongee kuthibitisha yuko salama. Mzee alikohoa mpaka akatia huruma...
😂watu wana roho mbaya sana aisee, alimtesa sana mzee wa watu bado kidogo angefia live mbele ya makamera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…