Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
****** nae yuko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+Ceremonial figure aah 😳!!.
Awepo asiwepo haiathiri kitu 😳!!.
Naona kuna watu ni sawa na wale mnapigia kelele eti watu wameiba pesa za umma, wakati katiba yenu inaruhusu wizi from high profile people.
Yaani badala ya kupambana kuondoa hicho cheo kuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali za umma, wewe unasema hakuathili huku anaendelea kuishi kwa nguvu ya watanzania mmh🙁!.
Wewe umemuona?Vipi huko taifa leo ameonekana?
Unataka MR akazurure Magomeni? Aende Kariakoo? MR yupo anachapa kazi ...Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.
Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.
Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Wachagga hawamo humo?Na 'Washamba' wengine nje ya Waha ( Kigoma ) ni Wahaya ( Kagera ), Wanyiramba na Wanyaturu ( Singida ), Warangi ( Dodoma ), Wanyamwezi ( Tabora ) na Wakara ( Ukerewe Mwanza )
Dude Lipo JamaniMbona hata kwenye sherehe za uhuru haonekani??
Ndiyo Ukweli WenyeweCovid 19 bado inamtesa sana, tuvae barakoa jamani
We hujamuona?Vipi huko taifa leo ameonekana?
HaaWe hujamuona?
We hujamuona?
Alitoa ushuhuda chini ya uangalizi maalum kama mzee wetu Assad?
Yuko wapi?We hujamuona?