Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Yuko wapi Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango?

Ceremonial figure aah 😳!!.

Awepo asiwepo haiathiri kitu 😳!!.

Naona kuna watu ni sawa na wale mnapigia kelele eti watu wameiba pesa za umma, wakati katiba yenu inaruhusu wizi from high profile people.

Yaani badala ya kupambana kuondoa hicho cheo kuwa ni sehemu ya matumizi mabaya ya rasilimali za umma, wewe unasema hakuathili huku anaendelea kuishi kwa nguvu ya watanzania mmh🙁!.
+
Huko unapobeba box hakuna makamu wa rais mkuu wangu??? Hv makamu wa rais wa US anaitwa nani vile....nakatiba yao ndo mnaipigiaga mfano dunia nzima.
 
Mjomba yupo. Maana ni juzi tu ameongea na Dada yake na nikamsikia akisema gem ngum maana yeye kazoea RNB Sasa SINGELI bado hajaipata ipasavyo. Ila nikasikia anakomaa hivyo hivyo
 
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka nikamsalimie Mtani wangu wa Kiha kutoka kwa 'Washamba' Mkoani Kigoma.

Au kama yupo (tunae hapa JamiiForums) tafadhali naomba ajitokeze tu anijibu kuwa yuko na anaendelea na Majukumu yake ili tu Roho yangu iridhike kwani 'nimemmisi' sana Makamu wangu wa Rais Dk. Philip Mpango.

Waha niambieni Ndugu yenu yuko wapi?
Unataka MR akazurure Magomeni? Aende Kariakoo? MR yupo anachapa kazi ...

In Katelephone Namungo's voice🤣🤣
 
Vipi huko taifa leo ameonekana?
Kulia kwa Kagame.

WhatsApp-Image-2021-12-09-at-12.03.31-PM.jpeg
 
Alitoa ushuhuda chini ya uangalizi maalum kama mzee wetu Assad?

Assad anasifiwa kwa kuwa shujaa, mimi najiuliza siku ile pale Magogoni alipatwa na nini alipokataa Mbele ya Jiwe kuwa zile 1.5 trillion shillings kwenye report yake kama CAG hazikupotea kama wengi walivyokuwa wanaeneza?
 
Back
Top Bottom