Hiyo ngoma ni ya Jaffarai sio ya mchizi Moxkila kona watu kibao.
Tulikuwa na mpango wa kwenda ng'ambo
tukafika ubalozini tufatilie mambo
huko nako tukakuta watu kibao
Sio ya jafarai ni ya wateule,(kundi)Hiyo ngoma ni ya Jaffarai sio ya mchizi Mox
kumbe alikuwa mjela jela huyu mwamba halafu alionekana kuwa mtu wa bangi na konyagi naona kwa sasa atakuwa keshakuwa babuAlitisha sana kipindi kile na wimbo wake wa "Mambo vipi" mara tu baada ya kutoka jela.
Wewe ni mshamba!Hiyo ngoma ni ya Jaffarai sio ya mchizi Mox