Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Huyu Mch ameshakula pesa ya Samia.

Sasa bili analipaje iwapo haongei?
 
Msigwa amekuwa mithili ya Condom kwa CCM.

Washamailiza shughuli nae, kwa sasa hana faida yeyote. Ni swala la muda tu atarudi CHADEMA.
 
Msigwa amekuwa mithili ya Condom kwa CCM.

Washamailiza shughuli nae, kwa sasa hana faida yeyote. Ni swala la muda tu atarudi CHADEMA.
Ataweza kurudisha hela za watu?
 
Ccm wakimchukua mtu kutoka upinzani sio kwamba wana shida ya kutaka kufanya kazi naye bali wanalengo la kukikomoa au kukipunguza nguvu hicho chama
 
Alipewa hela kidogo ndo maana kifurushi kimekata.hivi kifurushi cha slaa nacho kiliisha akawageuka wampe ukuu wa wilaya.
 
mkuu ,adui wa CHADEMA hayupo kwa Sasa .....maandalizi ya kurudi chama tayari
 
Msigwa kazi yake huko CCM ilikuwa kumpiga spana Mbowe sasa Mbowe hayupo na yeye kibarua kimeota nyasi,ila nasikia alivuta signing fee ndefu sana.
 
You can use protection twice, na wala hajala haa chochote, kwa kifupi Hana thamani, na kajijengea kaburi lake la siasa kilaini!
 
Alipokuwa anazunguka nchi nzima na kupanda majukwaani, alikuwa akiongea kama nani, na sasa yupo kimya, amekuwa nani?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Pale alikuwa anauhabarisha umma kuwa sasa ameachana na timu daraja la tatu, amejiunga na timu daraja la kwanza, timu ya Tanzania Revolutionary Part aka CCM
 
Back
Top Bottom