ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Nimekuwa nikijiuliza hili swali siku nyingi sana Hivi yule mkali Wa Hasara roho,muziki,usikate tamaa A.k.a Darassa yuko wapi jamani?
Mliopo Dasilamu mtusaidie sisi wa mikoani Darassa Amepotelewa wapi? ninetembelea account yake ya Instagram Mara ya mwisho nimeona Alipost Mwezi wa 8 2017
Sasa kwa masanii mkubwa kama huyu kupotea ghafla hivyo sio Vizuri!
JAMANI UKO WAPI DARASSA