Yuko wapi msanii Darassa?

Yuko wapi msanii Darassa?

Sidhani kama ukimya wake ni sababu ya ngada, maana wabongo nao ni wazushi balaa
 
Kama ni kweli sababu ya ngada ,kuna haja ya wanamuziki wenyewe kutafuta suluhisho la hilo tatizo ,vijana wanaangamia kwa kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya
 
dah masikini kama kaishia huko. nakumbuka kuna tangazo la energy drink jina nimesahau alikuwemo.
 
Dah huyu jamaa hadi roho inauma sana coz namjua sana tulikuwa majiran maeneo ya kiwalan migomban nimekaaa sana mitaa hiyo miaka ya 2010 had 2012 so namjua sana pia alikuwa mchezaji mzuri sana Wa mpira maeneo ya relini hapo hapo kiwalani mogomban,kiukwel jamaa alikuwa na juhudi sana za kimziki na alijua nini anatafuta na hapo kiwalani kakulia kwa Dada ake ambae arifarik kitambo kidogo na kumwacha yy na wajomba zake so walikuwa wanaishi na wajomba zake kwenye nyumba ya marehem Dada ake ,na kipindi hicho alikuwa anakula fegi tu tena kwa kujificha ficha had kaja katoboa life na kuhamia makongo juu ambako ndiko ulaji ngada umemkumba baada ya kulewa umarufu na kusahau shida alizopitia huko kiwalani ..kwasasa jamaa kapoteana sana na madawa mitungi na ujinga mwingne Wa kidunia ,ila bado anaweza kurud katika hali yake kama atasaidiwa na psychologists
Kiwalani migombani..alex wamfahamu?
 
Kwann lakini..wakishapata umaarufu na pesa huamia kwenye ngada?
 
Back
Top Bottom