Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona umebadiri muonekanoDuuh
[emoji3] [emoji3]Mkuu naona umebadiri muonekano
Unauzoefu nao mkuu?Halafu Unga wa Ngano ukikukolea sana unaanza pia kupenda kupiga Simu mtandao pendwa kwa Vijana wa ' Tigo '.
Unauzoefu nao mkuu?
picha ya 2016 hiiUmemwona?View attachment 738301
Kiwalani migombani..alex wamfahamu?Dah huyu jamaa hadi roho inauma sana coz namjua sana tulikuwa majiran maeneo ya kiwalan migomban nimekaaa sana mitaa hiyo miaka ya 2010 had 2012 so namjua sana pia alikuwa mchezaji mzuri sana Wa mpira maeneo ya relini hapo hapo kiwalani mogomban,kiukwel jamaa alikuwa na juhudi sana za kimziki na alijua nini anatafuta na hapo kiwalani kakulia kwa Dada ake ambae arifarik kitambo kidogo na kumwacha yy na wajomba zake so walikuwa wanaishi na wajomba zake kwenye nyumba ya marehem Dada ake ,na kipindi hicho alikuwa anakula fegi tu tena kwa kujificha ficha had kaja katoboa life na kuhamia makongo juu ambako ndiko ulaji ngada umemkumba baada ya kulewa umarufu na kusahau shida alizopitia huko kiwalani ..kwasasa jamaa kapoteana sana na madawa mitungi na ujinga mwingne Wa kidunia ,ila bado anaweza kurud katika hali yake kama atasaidiwa na psychologists
bila shaka jiwe limekupata!Niliwahi kushuhudia ' Mshua ' wako akiutumia Mkuu.
Swali zuriKwani nae alipata stress gani sasa wakati alikuwa ameshafika ontop