Yuko wapi msanii Darassa?

Yuko wapi msanii Darassa?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Nimekuwa nikijiuliza hili swali siku nyingi sana Hivi yule mkali Wa Hasara roho,muziki,usikate tamaa A.k.a Darassa yuko wapi jamani?

Mliopo Dasilamu mtusaidie sisi wa mikoani Darassa Amepotelewa wapi? ninetembelea account yake ya Instagram Mara ya mwisho nimeona Alipost Mwezi wa 8 2017
IMG_1556.JPG

Sasa kwa masanii mkubwa kama huyu kupotea ghafla hivyo sio Vizuri!

JAMANI UKO WAPI DARASSA
 
ana share shamba yeye na chidibenzi na alikiba100 ni shamba la unga wa ngano na mahindi
 
hivi wanakua hawajui madhara yake au nini..mana wanaona jinsi vjana wenzao wanavyoharibika na hayo maunga lkn hawajifunz .
 
Wasanii wabongo wengi ni malimbukeni wakipata umaarufu wakianza kuingia viwanja ili waonekane nao wamo huanza kutumia madawa, wengi huanzia kwenye pombe, shisha, then vooom unga
 
hivi wanakua hawajui madhara yake au nini..mana wanaona jinsi vjana wenzao wanavyoharibika na hayo maunga lkn hawajifunz .
Wengine wanaingizwa taratibu tena bila wao kujua. Kuna siku nilikuwa mahala flani(kwenye ofisi maarufu), mara akaja jamaa kuleta pipi(ivory). Mwenye ofisi niliyekuwa naongea naye, alifurahia sana alipomuona na kisha kulalama jamaa(muuza pipi kuchelewa). Muuza pipi alimugawia pipi moja na mimi akanipa pia pipi moja(bila kulipia, pipi ya bure). Nikajiuliza sana maswali yafuatayo.
1. Kama mwenye ofisi anapenda pipi ivory, kwa nini asiwe anaingia nazo za kutosha ofisini?
2. Kwa nini muuza pipi apate idhini ya kuja kugawa pipi(maana hatozi hela) ili hali kuingia kwenye ofisi mbalimbali ndani ya jengo hilo kunahitaji dole gumba lipitishwe kwenye scan ya kufungulia mlango.
3. Kwa nini hatozi pesa?
Majibu niliyopata.
1. Hawatozwi pesa ili azoeshwe kwanza(vya bure vinapendwa na wengi), na pia iguse kila mtu. Asiwepo mwenye kisingizio cha kutokuwa na hela.
2. Wakishazoea ndipo wanaanza kuuziwa, na kwa vile mtu unakuwa tayari umeshazoea, usipopata mwili hauwi fiti, hivyo lazima tu ununue.
3. Kuwa makini na zawadi unayopewa, hasa kama ni ya kuingia kinywani.
 
Dah huyu jamaa hadi roho inauma sana coz namjua sana tulikuwa majiran maeneo ya kiwalan migomban nimekaaa sana mitaa hiyo miaka ya 2010 had 2012 so namjua sana pia alikuwa mchezaji mzuri sana Wa mpira maeneo ya relini hapo hapo kiwalani mogomban,kiukwel jamaa alikuwa na juhudi sana za kimziki na alijua nini anatafuta na hapo kiwalani kakulia kwa Dada ake ambae arifarik kitambo kidogo na kumwacha yy na wajomba zake so walikuwa wanaishi na wajomba zake kwenye nyumba ya marehem Dada ake ,na kipindi hicho alikuwa anakula fegi tu tena kwa kujificha ficha had kaja katoboa life na kuhamia makongo juu ambako ndiko ulaji ngada umemkumba baada ya kulewa umarufu na kusahau shida alizopitia huko kiwalani ..kwasasa jamaa kapoteana sana na madawa mitungi na ujinga mwingne Wa kidunia ,ila bado anaweza kurud katika hali yake kama atasaidiwa na psychologists
 
Kuupata umaarufu ni kazi Sana, ila kuhimili mikazo ya umaarufu ni kazi Mara mia zaidi. Wasanii watumie akili zao vizuri.
 
Back
Top Bottom