ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ingekuwa vizuri ungetunyonyea hiyo picha.Leo nimeona picha yake kwenye page flani huko insta huwezi kuamini jamaa kachoka inaonyesha anakula ngada
Umemwona?Ingekuwa vizuri ungetunyonyea hiyo picha.
Hee ni nn jaman kimemkutaUmemwona?View attachment 738301
Sijui aisee ila dalili inaonyesha anatumia ungaHee ni nn jaman kimemkuta
Wengine wanaingizwa taratibu tena bila wao kujua. Kuna siku nilikuwa mahala flani(kwenye ofisi maarufu), mara akaja jamaa kuleta pipi(ivory). Mwenye ofisi niliyekuwa naongea naye, alifurahia sana alipomuona na kisha kulalama jamaa(muuza pipi kuchelewa). Muuza pipi alimugawia pipi moja na mimi akanipa pia pipi moja(bila kulipia, pipi ya bure). Nikajiuliza sana maswali yafuatayo.hivi wanakua hawajui madhara yake au nini..mana wanaona jinsi vjana wenzao wanavyoharibika na hayo maunga lkn hawajifunz .
Umemwona?View attachment 738301
Kuupata umaarufu ni kazi Sana, ila kuhimili mikazo ya umaarufu ni kazi Mara mia zaidi. Wasanii watumie akili zao vizuri.Dah huyu jamaa hadi roho inauma sana coz namjua sana tulikuwa majiran maeneo ya kiwalan migomban nimekaaa sana mitaa hiyo miaka ya 2010 had 2012 so namjua sana pia alikuwa mchezaji mzuri sana Wa mpira maeneo ya relini hapo hapo kiwalani mogomban,kiukwel jamaa alikuwa na juhudi sana za kimziki na alijua nini anatafuta na hapo kiwalani kakulia kwa Dada ake ambae arifarik kitambo kidogo na kumwacha yy na wajomba zake so walikuwa wanaishi na wajomba zake kwenye nyumba ya marehem Dada ake ,na kipindi hicho alikuwa anakula fegi tu tena kwa kujificha ficha had kaja katoboa life na kuhamia makongo juu ambako ndiko ulaji ngada umemkumba baada ya kulewa umarufu na kusahau shida alizopitia huko kiwalani ..kwasasa jamaa kapoteana sana na madawa mitungi na ujinga mwingne Wa kidunia ,ila bado anaweza kurud katika hali yake kama atasaidiwa na psychologists