Yuko wapi msanii Darassa?

Sidhani kama ukimya wake ni sababu ya ngada, maana wabongo nao ni wazushi balaa
 
Kama ni kweli sababu ya ngada ,kuna haja ya wanamuziki wenyewe kutafuta suluhisho la hilo tatizo ,vijana wanaangamia kwa kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya
 
dah masikini kama kaishia huko. nakumbuka kuna tangazo la energy drink jina nimesahau alikuwemo.
 
Kiwalani migombani..alex wamfahamu?
 
Kwann lakini..wakishapata umaarufu na pesa huamia kwenye ngada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…