Yuko wapi msanii Jos Mtambo?

Yuko wapi msanii Jos Mtambo?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Shabiki wake nimem miss sana.

Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru

Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
 
Yaani Mungu wangu amnyonge shetani wako
Halafu msma angu anamchapa makofi dingi ako
 
Jos atakuwepo kwao Kigamboni bila shaka,, ila ukiwa nae live ktk maongez huwezi dhani ndiye yeye mwenye maajabu studio.(Nimewahi onana nae mara kadhaa )
Akiwa Downtown records ya D Money alifanya kazi nyngi nzuri
 
huyo d money hivi alikaa mbogo muda mrefu kweli au alikimbilia marekani?
 
Nshawahi kumuuliza sarehe jabili na big chawa wakasema jamaa hatakagi interviews sijui anashida gan mwamba . Dah ..moja ya ma legend bora kutokea tz .
 
Jamaa anajua.

Kuna pini waliimba na Roma Mkatoliki aisee jamaa aliflow noma.
 
Back
Top Bottom