Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna flow ya Jose Mtambo, alafu kuna flow ya Saigon. Noma sana!Ni moja kati ya marapa bora wenye flow ya pekee isiyogezeka.
Ni kitambo wacha tusubiri wadau waseme yuko wapi.
Kuna flow ya Jose Mtambo, alafu kuna flow ya Saigon. Noma sana!
huyo d money hivi alikaa mbogo muda mrefu kweli au alikimbilia marekani?Jos atakuwepo kwao Kigamboni bila shaka,, ila ukiwa nae live ktk maongez huwezi dhani ndiye yeye mwenye maajabu studio.(Nimewahi onana nae mara kadhaa )
Akiwa Downtown records ya D Money alifanya kazi nyngi nzuri
NakubaliSaigon alizidisha mikogo, ikageuka ushamba.
Yupo kwenye mitamboShabiki wake nimem miss sana.
Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru
Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu
"Nyonga, Washa, Vuta..........."Jamaa anajua.
Kuna pini waliimba na Roma Mkatoliki aisee jamaa aliflow noma.
Inaitwa Rais wa ghetto hiyo hivi yule msela aliyechana verse ya kwanza sijui nani yule aliua Sana."Nyonga, Washa, Vuta..........."
X-RayInaitwa Rais wa ghetto hiyo hivi yule msela aliyechana verse ya kwanza sijui nani yule aliua Sana.