Yuko wapi msanii Malaika?

Yuko wapi msanii Malaika?

Huyo ni mdangaji maarufu so don't worry
 
[emoji13] [emoji13] ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interview
Mapenzi yana Siri kubwa Hatujui anachopewa nini Kwa Huyo mwenye sura mbaya
 
Yupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongo

Akaona aende kwa Mnyamwezi promota Dmk global
Mwanamke wa kichaga akishaona umeishiwa hapo jiandae tu kwa kutoswa nilisikia yule jamaa wa bongo analalamika kuwa dem alimfanyia mambo yakishenzi
 
Nilisikia wimbo wake "Mwantumu kapata mzungu", yaani aibu naona mimi. Nafikiri hata producer wa ule wimbo ni kilaza.
 
Who's DMK?
Ni promoter anaishi us ni mbogo
Yuko na mwanae watamuje
Screenshot_2018-05-28-21-07-06.jpg
 
Back
Top Bottom