Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi yana Siri kubwa Hatujui anachopewa nini Kwa Huyo mwenye sura mbaya[emoji13] [emoji13] ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interview
chege hajamlamba huyo demu kwanza chege domo zege watu wa karibu wanadaiChege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
Mwanamke wa kichaga akishaona umeishiwa hapo jiandae tu kwa kutoswa nilisikia yule jamaa wa bongo analalamika kuwa dem alimfanyia mambo yakishenziYupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongo
Akaona aende kwa Mnyamwezi promota Dmk global
Duu inamana had wewe ameshindwa kukutia sound bhas jamaa zege kupitilizachege hajamlamba huyo demu kwanza chege domo zege watu wa karibu wanadai
Dmk global si ndie ngabu mkuu?Yupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongo
Akaona aende kwa Mnyamwezi promota Dmk global
sijaongelea uzuri..Ila Carrier wise..mwingine dancer wakati Malaika muimbaji...nani ana future endelevuMkuu Hujafa Hujaumbika, Acha Kuita Binadamu Wenzio Kitu Cha Ajabu
Nimekusoma Mkuusijaongelea uzuri..Ila Carrier wise..mwingine dancer wakati Malaika muimbaji...nani ana future endelevu
Hapa sijui lolote mkuu, labda unijuze vizuriDmk global si ndie ngabu mkuu?
acha kudanganya umma mhaya pureHuyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu
Alafu unafanana nae kinomaYuko sana nje anapiga show huko.
Anapiga au ANAPIGWA???Yuko sana nje anapiga show huko.
Yule atakuwa mhaya au mnyambo niliwahi sikia historia yake chimbuko lake ni kagera
Nyingi zaidi ni show za kitandani,,dmk kajipigia mpaka kachoka loYuko sana nje anapiga show huko.
Ni mzuriiKumbe tupo wengi tunaomwelewa malaika.Ni mtamuuuu
Ni mhayaacha kudanganya umma mhaya pure
Who's DMK?Nyingi zaidi ni shpw za kitandani,,dmk kajipigia mpaka kachoka lo
Ni promoter anaishi us ni mbogoWho's DMK?