Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
/ebu nicheki ninavyong'araa/
/akipendacho binti,lazima mwanaume atanunua/

Ninaposkia hiyo mistari namkumbuka gwiji wa michano kutokea Morogoro ambaye alikuwa hasimu wa Afande selle. Pia ni moja ya wasanii wanaoweza kucheza na maneno/mistari inayopendwa na jamii. Yuko wapi huyu jamaa?. Tunaomba arudi afute vumbi kiti chake
 
OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana
 
daaaaah, kwa hiyo simba wa Moro naye anabeti siku hizi. Kweli vyuma vimekaza. Hawa watu sijui huwa wanakoseaga wapi! 20% naye sijui atakuwa na hali gani sasa hivi.
 
una kipaji cha kutunga uongo
 
una kipaji cha kutunga uongo
Sawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] afu we jamaa bhana
Kwamba mmoja anakula weed mwingine anatandaza mikeka tu
 
Daaaaah umetisha sana mzee baba
ova[emoji113][emoji113]
 
Unaunguza picha ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…