kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
/ebu nicheki ninavyong'araa/
/akipendacho binti,lazima mwanaume atanunua/
Ninaposkia hiyo mistari namkumbuka gwiji wa michano kutokea Morogoro ambaye alikuwa hasimu wa Afande selle. Pia ni moja ya wasanii wanaoweza kucheza na maneno/mistari inayopendwa na jamii. Yuko wapi huyu jamaa?. Tunaomba arudi afute vumbi kiti chake