Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

Inaumiza sana
 
Wasanii wetu hua wanapotea sana! Mbaya zaidi niwanyoma nyasi wazuri sana
 
Yah! Bro Last time nilimkuta office za Premier Betting Pale Sabasaba! Alikuwa Ana Claim Mkeka Wake Umeshinda Anachelewa Kulipwa!!!

Ka office kana usumbufu sana nlikuwa nampiga sana mhindi lak 3 na 2 had uwape rushwa ndo watoe pesa la sivyo utazungushwa mbaya moro bana nimejifunzia kubet Sua hiyo daaa
 
Mkuu hukwenda kigoma? Uliamua kubaki moro?
 
Mkuu Mimi nataka kufika mahela records unanisaidiaje
 
....mimi ni mkuu wa mkoa niko juu zaidi ya Mayor mimi ni kama baba mwenye familia nalea,...nilikuwa namkubali sana jamaa nilikuwa napenda ambavyo hafichi kitu mfano alipomtaja Afande kama adui yake, kiakili za kipindi kile niliamini ndo Hip Hop, jamaa anaweza Mungu amponye ili arudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…