Sawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.