Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

Sawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
Ddahhh nammiss sana o-ten
 
OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana

Mi namwonaga kwa Saidi Mpare hapo hapo Sabasaba akigonga viroba tu, sijui anatokaga navyo wapi wakati vimepigwa marufuku
 
Sasa ivi anapiga bodaboda ukibisha utakua mchawi na mwenzie 20 p wamechoka mbaya jion utawakuta forest kuna kama studio ivi
Maisha bwana! East Coast team enzi hizo wanawaaminisha watu wao wa kishua wanakaa Upanga, kumbe wengi wanakaa kwa ndugu zao wanalala Sebuleni nyumba za Msajili!!
 
Sawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
Sidhani kama atarudi kwa maelezo kumtu kama hayo
 
OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana
Ila Afande anajielewa aisee na ana maisha yaliyosimama ya kiungwana angalau.
 
Rapa bora wa muda wote,Jamaa was good.Hivi kina FA na AY kwanini wasiwekeze kwenye hiki kipaji?
Au ndio roho mbaya!
Hivi uko siriaz ulichokiandika?[emoji1], Nyandindi hajawahi kuwa rapa bora, labda ungesema rapa mjanjamjanja
 
....Napenda sana mademu....Napenda sana pombe yaaan kiufupi napenda kujirusha.....

Kwa mistari hiyo unategemea mtu kama huyo awe wapi muda huu?[/QUOTE

Watu mnamaneno sana humu jamvini. Nisehemu moja wapo ya kuondoa stress zangu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji4]
 
una kipaji cha kutunga uongo
Uongo uko wapi hapo sasa? Yuko Moro, na kapigika, dogo wangu mmoja alimzingua baada ya kumlazimisha amnunulie bapa wakati enzi zake alijifanya hamjui kwenye tamasha lake Jamhuri. Yuko Moro na ni choka mbaya.
 
crazy gk wakishua kweli..hao wengne labda
Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
 
Maisha bwana! East Coast team enzi hizo wanawaaminisha watu wao wa kishua wanakaa Upanga, kumbe wengi wanakaa kwa ndugu zao wanalala Sebuleni nyumba za Msajili!!
...kwahiyo inakuuma mpaka leo
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Uongo uko wapi hapo sasa? Yuko Moro, na kapigika, dogo wangu mmoja alimzingua baada ya kumlazimisha amnunulie bapa wakati enzi zake alijifanya hamjui kwenye tamasha lake Jamhuri. Yuko Moro na ni choka mbaya.
Mkuu Alishaelewa Huyu!!! Achan Nae
 
Back
Top Bottom