Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haahhahahaha!!! kutoka ufalme mpaka kubet si mchezoYah! Bro Last time nilimkuta office za Premier Betting Pale Sabasaba! Alikuwa Ana Claim Mkeka Wake Umeshinda Anachelewa Kulipwa!!!
...baada ya kusema hayo,Ukiona MTU anakimbilia kutukana, ujue hajiamini.
Mapenzi yaliisha siku tunamaliza O'levelHuyo
Demu bado mpo nae hadi leo kama mke au ndo yaliishia huko huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa mharibifuMapenzi yaliisha siku tunamaliza O'level
Sikuwa muharibifu after form four sijawahi kumuona Kama ukimuona mwambie niko single namtafuta tutimize agano letu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa mharibifu
jf inatiaga raha sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] afu we jamaa bhana
Kwamba mmoja anakula weed mwingine anatandaza mikeka tu
Hujaoa unasubiri nini mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sikuwa muharibifu after form four sijawahi kumuona Kama ukimuona mwambie niko single namtafuta tutimize agano letu
Rapa bora wa muda wote,Jamaa was good.Hivi kina FA na AY kwanini wasiwekeze kwenye hiki kipaji?
Au ndio roho mbaya!
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali kwa kunifikirisha kinoma....Napenda sana mademu....Napenda sana pombe yaaan kiufupi napenda kujirusha.....
Kwa mistari hiyo unategemea mtu kama huyo awe wapi muda huu?