Nimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini..
Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion wanavyomuelezea na nnavyomkosa Mshana humu napata hofu..
Nani anamfahamu Mshana aje atujuze kaenda wapi huyu mwanaharaki
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yanguduuuh mshana jr sijui kapotelea wapi
Hahahaa pole mkuu...watu wakajua we ndo mpiga manyanga wa scorpionNipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama
Kaenda kumsalimia dadake faizafoxyNimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini..
Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion wanavyomuelezea na nnavyomkosa Mshana humu napata hofu..
Nani anamfahamu Mshana aje atujuze kaenda wapi huyu mwanaharaki
Vipi dadako faizafoxy hajambo?Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama