Yuko wapi Mshana wa JF?

Yuko wapi Mshana wa JF?

accused

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,496
Reaction score
2,746
Nimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini..

Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion wanavyomuelezea na nnavyomkosa Mshana humu napata hofu..

Nani anamfahamu Mshana aje atujuze kaenda wapi huyu mwanaharaki
 
duuuh mshana jr sijui kapotelea wapi
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama
 
Hahahaa sa mleta mada unataka kutuambia nini hapa kwa mfano!?
Nawaza kwa sauti ya kupayuka
 
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama
Hahahaa pole mkuu...watu wakajua we ndo mpiga manyanga wa scorpion
 
Nimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini..

Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion wanavyomuelezea na nnavyomkosa Mshana humu napata hofu..

Nani anamfahamu Mshana aje atujuze kaenda wapi huyu mwanaharaki
Kaenda kumsalimia dadake faizafoxy
 
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama
Vipi dadako faizafoxy hajambo?
 
Back
Top Bottom