Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama

Bukheri wa afya [emoji15] [emoji87] [emoji102] [emoji134]Vipi dadako faizafoxy hajambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungo uliotumia huko salama lakini? Karibu tena mkuu.
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama
Hahaaa mbona unajibu kwa woga unamjua mbwembwe zake hakiwii kukukana humu .Bukheri wa afya [emoji15] [emoji87] [emoji102] [emoji134]
Namba zinasomeka vizuri zaidiJipya tupe