Yuko wapi Mshana wa JF?

Yuko wapi Mshana wa JF?

Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama

Karibu sana mkuu, kiukweli tulikumisi sana tena sana!! Wewe ni mtu wa watu..
 
Nipo nimerejea salama salimini, alfajiri ya tarehe 8 October ndio niliondoka kwa dharura! Nakumbuka sikulala na tukawa online na members wengine kama BAK na niah wakanitakia safari njema! Kufika asubuhi nilikuwa mbali hata na simu yangu
Naomba nikiri kuwa niliimiss JF na kila mmoja wetu hapa lakini nikalazimika kuwa nje ya network! Nimerejea salama

Ungo uliotumia huko salama lakini? Karibu tena mkuu.
 
Mwana niaje........uko poa

.ova

Back
Top Bottom