Yuko wapi mtunzi mahiri wa vitabu vya kufundishia ambaye pia ni kada wa CCM Nyambari Nyangwine?

Yuko wapi mtunzi mahiri wa vitabu vya kufundishia ambaye pia ni kada wa CCM Nyambari Nyangwine?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
2295457_manachadema-ashambuliwa.jpg

Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya CCM Tarime, lakini ni kitambo kirefu sijamsikia, atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma

Yuko wapi sasa?
 
View attachment 1360818

Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya ccm Tarime , lakini ni kitambo kirefu sijamsikia , atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma

Yuko wapi sasa ?
Mtakutana naye October!
 
View attachment 1360818

Huyu mtu alikuwa ndio nguzo ya CCM Tarime, lakini ni kitambo kirefu sijamsikia, atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele kukipigania chama chake kwa halali na kwa haramu na kwa mara ya mwisho alionekana kwenye tukio la kung'oa bendera za Chadema mjini Dodoma

Yuko wapi sasa?

Huyu jamaa kabaki kuiba viwanja vya wazi pale Mbezi Jogoo

Kulikua kuna uwanja wa michezo pembeni ya kiwanda cha Chemi&Cotex

Kakiiba mchana peupe!

Kakizungushia uzio kauza kwa mabepari wenzie!

Kwake ni pembeni ya huo uwanja!

That nigga is a thief!
 
kwamba huvijui vitabu vya Nyambari Nyangwine vilivyotumika mashuleni au unataka kupoteza muda tu ?
Yeye ana kampuni ya publishing ambayo anashirikiana na wakenya.Hana kitabu hata kimoja alichoandika.
Ila yeye Kama publisher ka publish vitabu vya waandishi kibao Publisher na mwandishi ni watu wawili tofauti.
Una uelewa mdogo mno
 
Back
Top Bottom