Nyambari Nyangwine
kati ya waandishi na wachapishaji vitabu wazawa (nazungumzia academics books) sasa kuwa amecopy anarudia points etc
1. vitabu vya kufundishia vya waandishi wakubwa are very expensive na vyingi ni vya nchi za nje, shule nyingi za umma na binafsi uwezo wakuvinunua hamna, hata wazazi kuwanunulia watoto wao pia ni ngumu, nymbari alitusaidia kwenye hilo 15k, 30k mpaka 45 unapata kitabu.
Monka house bei ya nenda bookshop kaulize
2. lugha nyambari amesimplify kwa kweli na mifano mingi ya mazingira ya kitanzania
3. literature tuwe wakweli mzazi gani anaweza kuafford vitabu vya fasihi kutoka nje nyie muogopeni Mungu jamani.
heko kwa waandishi na wachapishaji wazawa
nyambari vitabu vya English, fasihi, literature, Gs
Msabila Physical geography
Asheli English language
Dr kadeghe English language