Yuko wapi mtunzi mahiri wa vitabu vya kufundishia ambaye pia ni kada wa CCM Nyambari Nyangwine?

Usije jf ukiwa njwiii
 
Kumbe huyu jamaa wa CHADEMA aliwavamia ccm ndio maana walimkosa na yale mawe
 
Ni kweli kuwa ana kampuni ya kuchapa lakin pia yeye mwenyewe anaandika vitabu kaka.Mfamo kuna cha kiswahili cha advance ameandika yeye akishirikiana na Masebo.
Yeye ana kampuni ya publishing ambayo anashirikiana na wakenya.Hana kitabu hata kimoja alichoandika.
Ila yeye Kama publisher ka publish vitabu vya waandishi kibao Publisher na mwandishi ni watu wawili tofauti.
Una uelewa mdogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye picha walikuwa wanafanya nini ?

Kwann maccm yanapenda sana matumizi ya fimbo, refer kesi ya Job kule jimboni kwake ?
 
Nyambari Nyangwine
kati ya waandishi na wachapishaji vitabu wazawa (nazungumzia academics books) sasa kuwa amecopy anarudia points etc

1. vitabu vya kufundishia vya waandishi wakubwa are very expensive na vyingi ni vya nchi za nje, shule nyingi za umma na binafsi uwezo wakuvinunua hamna, hata wazazi kuwanunulia watoto wao pia ni ngumu, nymbari alitusaidia kwenye hilo 15k, 30k mpaka 45 unapata kitabu.
Monka house bei ya nenda bookshop kaulize

2. lugha nyambari amesimplify kwa kweli na mifano mingi ya mazingira ya kitanzania

3. literature tuwe wakweli mzazi gani anaweza kuafford vitabu vya fasihi kutoka nje nyie muogopeni Mungu jamani.

heko kwa waandishi na wachapishaji wazawa
nyambari vitabu vya English, fasihi, literature, Gs
Msabila Physical geography
Asheli English language
Dr kadeghe English language
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…