Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kazi... Ngoja ajeYohana mbatizaji
Yes, umenikumbusha Biayetu! Alikuwa na matusi ya kumtetea Jiwe usiombe! Wamekufa kabisa with different IDs I guessLizaboni na biayetu, walisema watazikwa na Joni magufuli
Eda Ni 40 daysEda takes time. Vuta subra.
Hawa huwa wanakuwa ni task force maalumu, misheni ikiisha wanapotea ama kubadili ID,Lizaboni alikuwa matata Sana humu, alikera na kweli tukakereka kweli kweli. Yuko wapi , amepotea tangu Mwendazake azikwe. Yuko wapi mwamba Lizaboni?
Pamoja na Kawe AlumniYes, umenikumbusha Biayetu! Alikuwa na matusi ya kumtetea Jiwe usiombe! Wamekufa kabisa with different IDs I guess
Kawe Alumni hakuwa anatukana hata achokozwe vipiPamoja na Kawe Alumni