Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
huyu mbwa nae nilikuwa simpendi! kahamia jukwaa la mapishi hukococochanel nae kapotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mbwa nae nilikuwa simpendi! kahamia jukwaa la mapishi hukococochanel nae kapotea.
😆Atakuwa kwao huko Lizaboni Songea anakunywa ulanzi maana mama amewafungia vioo kabisa
Mwamba yupo.Lizaboni alikuwa matata Sana humu, alikera na kweli tukakereka kweli kweli. Yuko wapi , amepotea tangu Mwendazake azikwe. Yuko wapi mwamba Lizaboni?
Lizaboni na biayetu, walisema watazikwa na Joni magufuli
Kavimbiwa asaliLizaboni alikuwa matata Sana humu, alikera na kweli tukakereka kweli kweli. Yuko wapi , amepotea tangu Mwendazake azikwe. Yuko wapi mwamba Lizaboni?
Hajapoteza hirizi bali kafiwa na mganga.Lizaboni alikuwa matata Sana humu, alikera na kweli tukakereka kweli kweli. Yuko wapi , amepotea tangu Mwendazake azikwe. Yuko wapi mwamba Lizaboni?
Hawa huwa wanakuwa ni task force maalumu, misheni ikiisha wanapotea ama kubadili ID,
Ndo iko hivyo mkuu, unamkumbuka Ritz ? Yule alikuwa kwa ajili ya JK tu, JK kamaliza muda wake na yeye kamaliza kazi zake mtandaoni.Kabisa, wale walikuwa na kazi maalumu ndio maana kwa sasa hawapo kabisa.
Da Hawa watu sijui wako wapi, hata Malaria Sugu haonekani piaLizaboni na biayetu, walisema watazikwa na Joni magufuli
mwamba alikua na madini sana umu jukwaaniNikianzisha mada ya kutafuta watu humu nitamtafuta barafu yani huyu hata DM nimemtafuta lakini wapi. Zaidi ya mwaka sasa haonekani
Ukute kweli mkuuSiyo JPM kweli
Hajapoteza hirizi bali kafiwa na mganga.
Ameidump Id yule Kheri James mzee wa sindano za sumu.Yes, umenikumbusha Biayetu! Alikuwa na matusi ya kumtetea Jiwe usiombe! Wamekufa kabisa with different IDs I guess