Yuko wapi mwanadada Ruby?

Yuko wapi mwanadada Ruby?

Asije tu akawa amepotezwa na unga, maana wasanii na unga ni kama binadamu na maji.., unga unawapenda sana sijui kwa nini maskini?!
 
Huyu si aligoma kutumbuiza fiesta,Kisa mpunga kiduchu,Mawingu lazima wamfanyie figisu na atapotea mazima,..
 
Alafu clouds wakawa wanapiga nyimbo zake kipindi kile issue ikiwa hot, ile imepoa tu wakachoma kila device yenye data za rubby hakuna tangazo wala nyimbo inayohusiana na rubby clouds
 
Wale jamaa wanajua timing sana kwenye haya masaga ya kuzinguana na wasanii kwani yashawajeruhi vya kutosha hivyo usitegemee watakupiga kifalafala kama malaria, unatafunwa mdogomdogo kama cancer then wanakudamp kwenye dustibin ndo imetoka hiyo..[emoji38] .
So la jide limewapa uzoefu wa kutosha.
 
Kwa jide walifail asee,jide komandoo,ila jide alikuwa ananichanganya eti komando pia binti machozi sa machozi na komando vp au swala la mabomu ya machozi

Kilichomsaidia jide ni fanbase. Kwa kipindi cha miaka kumi kwenye game alikua ashatengeneza mashabiki wake wa kutosha tofauti na huyo mtoto aliyepalamia mji juzi akataka kuwadindishia wanaume wa dar.[emoji1] [emoji23] ..
 
Back
Top Bottom