chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nimecheka sana mkuuAliona anyonywa jasho na mawingu sasa wanamnyonya chuchu kwao
Hahahaaa unamdharauDaby hana uwezo huo.
Wale jamaa wanajua timing sana kwenye haya masaga ya kuzinguana na wasanii kwani yashawajeruhi vya kutosha hivyo usitegemee watakupiga kifalafala kama malaria, unatafunwa mdogomdogo kama cancer then wanakudamp kwenye dustibin ndo imetoka hiyo..[emoji38] .Alafu clouds wakawa wanapiga nyimbo zake kipindi kile issue ikiwa hot, ile imepoa tu wakachoma kila device yenye data za rubby hakuna tangazo wala nyimbo inayohusiana na rubby clouds
Wale jamaa wanajua timing sana kwenye haya masaga ya kuzinguana na wasanii kwani yashawajeruhi vya kutosha hivyo usitegemee watakupiga kifalafala kama malaria, unatafunwa mdogomdogo kama cancer then wanakudamp kwenye dustibin ndo imetoka hiyo..[emoji38] .
So la jide limewapa uzoefu wa kutosha.
Kilichomsaidia jide ni fanbase. Kwa kipindi cha miaka kumi kwenye game alikua ashatengeneza mashabiki wake wa kutosha tofauti na huyo mtoto aliyepalamia mji juzi akataka kuwadindishia wanaume wa dar.[emoji1] [emoji23] ..Kwa jide walifail asee,jide komandoo,ila jide alikuwa ananichanganya eti komando pia binti machozi sa machozi na komando vp au swala la mabomu ya machozi
Wewe ni mwehu [emoji16][emoji16]Kaolewa na Daby
Nalala chini hata kitanda sina siwezi kumhandle mtotoDaby hana uwezo huo.
[emoji16][emoji16] Unanichukulia poa kinoma. Ila kwqni tabu nini wacha tufe na hawa kina mwajuma wetu na mwanashaNilijua tu mtoto mzuri kama yule huwezi kumkamata.[emoji23]