Yuko wapi mwanadada Ruby?

Yuko wapi mwanadada Ruby?

clouds wana determine denstiny za THT wote,yani ukijiunga THT unakua kama umejiunga na Freemason,

ukiwazingua wakupoteza mpaka heshima ya mtaa unapoteza
 
[emoji16][emoji16] Unanichukulia poa kinoma. Ila kwqni tabu nini wacha tufe na hawa kina mwajuma wetu na mwanasha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mwanasha.hili jina mara ya mwisho kulisikia masikioni mwangu ilikuwa 2003 mwishoni
 
Lady Jdee na uligend wote lakini Bado clouds walimpotezaa... Yani clouds sijui wana nini ukijenga bifu nao umeisha..!! Sasa huyo ruby kazii anayo..
 
Watu kwa kupenda kuwapa promo Mawingu!? Wamewatoa wangapi na wamewafikisha wapi!? Hayo mazao ya THT yako wapi!?
 
Maskini waliokuwa wanampa kichwa hawakonae tena kuna watu wanafiki pongezi zimekata kama umeme
 
Yupo Instagram
Mambo zenu wadau,

Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule" amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka mikononi mwa Clouds Media, ni kwamba amebuma kabisa kutokana na ukosefu wa promo au bado anajipanga kuja kumshinda Nandy.
8e097712713f37439d513e54514829e9.jpg
 
Wahenga wa kizungu walisema....

"Dont insult a crocodile before crossing the river.."

IMG_20170904_195857_624.jpg
 
Mambo zenu wadau,

Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule" amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka mikononi mwa Clouds Media, ni kwamba amebuma kabisa kutokana na ukosefu wa promo au bado anajipanga kuja kumshinda Nandy.
8e097712713f37439d513e54514829e9.jpg
Yupo na song mpya Wale wale nafikiri katoa audio tu ni wimbo mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruby alikuwa anataka milion 1.5 Fiesta mwanza kwenye ufunguzi,, wakati nyimbo zote alitungiwa na Ruge
 
Back
Top Bottom