Haha eti ukanda wa juu kaskazini..Wazee kama ni ligi ya mabasi wale wazee wa kanda ya juu kaskazini twaweza kumuita sauli, kama ni ligi ya mpira basi jamaa ndo alikuwa bingwa ni yeye maana kila thread jamaa kama hayupo namba moja basi lazima tatu bora awepo ilifikia kipindi mpaka watu wakapendekeza jamaa awe mod.
Hongera sana mzee maana mimi pia nilitamani nikutane na jamaa maana alikuwa active sana na alikuwa ana content ya kutosha sana
Makosa ya simu mkuu nililenga kabisa kuandika nyanda za juu kaskazini bahati mbaya ikaja ukanda wa juu kaskaziniHaha eti ukanda wa juu kaskazini..
Sauli inakwenda Mbeya ambako ni nyanda za juu kusini.
Umerudia tena makosa,Makosa ya simu mkuu nililenga kabisa kuandika nyanda za juu kaskazini bahati mbaya ikaja ukanda wa juu kaskazini
Dah 😂😂😂😂 ahsante mkuuUmerudia tena makosa,
Mbeya ipo nyanda za juu kusini. sio nyanda za juu kaskazini.
Hata hapa umekosea tena, sauli inakimbiza nyanda za juu kusini .Makosa ya simu mkuu nililenga kabisa kuandika nyanda za juu kaskazini bahati mbaya ikaja ukanda wa juu kaskazini
Kaskazini ni klm arusha na nkUmerudia tena makosa,
Mbeya ipo nyanda za juu kusini. sio nyanda za juu kaskazini.
karibu.Dah 😂😂😂😂 ahsante mkuu
Sijaona last seen
Atafutwe huko bongonyooSijaona last seen
Kweli mkuu last seen haioneshi kabisaSijaona last seen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha eti ukanda wa juu kaskazini..
Sauli inakwenda Mbeya ambako ni nyanda za juu kusini.
Ngoja tuangalie kama za pembeni pia zipo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi na nyanda za chini zipo kweli?
Lindi mtwara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi na nyanda za chini zipo kweli?
Sijui kama hao mods unaosema wana whereabouts za kila verified.Duh, lakini sini-verified user ? Naakiji mods wangepata taarifa
Huwa anakuja na kupotea mkuu.Habarini za jioni wana jf wenzangu poleni na mihangaiko ya jumamosi naimani wote bado tunaendelea kuchukua tahadhari ipasavyo dhidi ya janga la covid-19.
Ngoja niende direct to the point kipindi cha mwaka mmoja hivi au miwili humu JF kulitokea member mmoja alikuwa anaitwa Joseverest jamaa alikuwa on fire sana.
Wazee kama ni ligi ya mabasi wale wazee wa nyanda za juu kusini twaweza kumuita Sauli, kama ni ligi ya mpira basi jamaa ndo alikuwa bingwa ni yeye maana kila thread jamaa kama hayupo namba moja basi lazima tatu bora awepo ilifikia kipindi mpaka watu wakapendekeza jamaa awe mod.
Je, yupo wapi huyu mtu kwa sasa au ndo alishapewa umoderator!!?