Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni makamu mwenyekiti ajaye
Ni maajabu kabisaHivi kweli kinana hajashiriki msiba wa JPM kabisa?
Kama ni kweli na labda hana tatizo basi kuna shida kubwa sana ndani ya Lumumba.Ni maajabu kabisa
Msomali angefia lupangoWalishindwa nn kumkamata serikali ya awamu ya 5?
Mwache apumzike vijana wa CCM mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita
Hajashiriki wala hajaonekana kwenye shughuli zozote za Kitaifa.
Mwendazake kaondoka ndiyo maana wameanza kukumbuka shuka asubuhiMwache apumzike vijana wa CCM mmemdharau na kumtukana sana kwa awamu iliopita
Aliwekwa House arrest. Akaambiwa achague apewe kesi ya ujangili na uhujumu uchumi au awe huru aunge mkono juhudi, akakubali yaishe kwa shingo upandeAiseee ni hatari kuna jambo halikuwa sawa kati yake na JIWE........Musiba katumika vibaya sana kuwavuruga.
Mzee Kinana ndo kazikwa rasmi kisiasa. Kina January Makamba,Nape Nnauye ndo hawaamini kabisa wanachokiona. Hawatokaa wamsahau Magufuli.Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu.
Yuko nchini?
Mzee Kinana alishastaafu siasa kabla ya kubembelezwa kuja kuwa katika Mkuu wa Chama. Hana anachohitaji katika siasa, kwa hiyo kusema kazikwa kisiasa ni irrelevantMzee Kinana ndo kazikwa rasmi kisiasa. Kina January Makamba,Nape Nnauye ndo hawaamini kabisa wanachokiona. Hawatokaa wamsahau Magufuli.